Lyrics
beefy music search engine [ ADVANCED ]
History | Sign in | Sign up in seconds
omg music + lyrics lol
Artists | Lyrics Search | Comments

Music and Lyrics ...

Nikuone
by DIAMOND PLATNUMZ

Send "Nikuone" Ringtone to your Cell

lyrics to Nikuone / Diamond Platnumz

Mangapi niliona
Wala sikujali
Nikafumba macho
Na tena yaliyonchoma
Maumivu makali
Manyanyaso
Si mzima wa nafsi
Siwezi kudanganya
Uwepo wako
Unanifanya nalia
Fanya urudi basi
Japo kuntazama
Oh, me mwenzako
Ukweli naumia

Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone

Nikuone (nikuone)
Nikuone (nikuone)
Nikuone (nikuone mama)
Ukowapi nikuone
Nikuone (nikuone)
Nikuone (japo nipone)
Nikuone (niiiikuone)

Oh, na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Ah, roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana, oh
Manjegere manjegere manjegere
Mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Hata silali

Kutwa nzima nawaza
Kisa nini darling
Kama sikukupa raha
Bado sijajua
Namaliza naianza
Nijapo tafakari
Njoo uniwashie taa
Kiza kitaniua
Muda mwingine nakesha tuu macho
Usingizi sina
Ikinijiaga tu sura yako
Huwa nazizizma
Mpaka nashikwa
Kigagaziko hata maneno kuyaongea
Yote sababu ya masikitiko
Haki ya mungu unanionea

Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone

Nikuone (nikuone)
Nikuone (njoo basi nikuone)
Nikuone (nikuone mama)
Ukowapi nikuone
Nikuone (nikuone)
Nikuone (eh eh eh nipone)
Nikuone (niiiikuone)

Oh, na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Ah, roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana, oh
Manjegere manjegere manjegere
Me mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Hata silali

Niliyoyasikia ya leo
Makubwa
Afadhali ya jana
Makubwa
Huwaga naona kwa video
Makubwa
Aah... Ni mazito mama
Niliyoyasikia ya leo
Makubwa
Afadhali ya jana
Makubwa
Huwaga naona kwa video

Oh, na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Ah, roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana, oh
Manjegere manjegere manjegere
Me mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Eeh... Hata silali


Send "Nikuone" Ringtone to your Cell


0 / 46 / short-url: http://lyricsg.com/372477/286 / pop 0 / exp 0
Diamond Platnumz Nikuone lyrics


You might also like ...

YouTube: Diamond Platnumz
Click below to play on page!
Loading...


More from Diamond Platnumz lyrics:
... More Diamond Platnumz lyrics ...
Emotions Analysis
click on an emotion:
independent
 
Question of the day

... reply here ...
Artists like Diamond Platnumz ...
... revise this list ...
Off-site links ...
- [wiki] Diamond Platnumz
- [wiki] Diamond Platnumz Nikuone
- Pictures: Diamond Platnumz
- YouTube: Nikuone
- last.fm: Nikuone
- Rhapsody: Nikuone


SONG MEANING / BACKGROUND INFO
What does Nikuone mean?

... update background information ...
Spread the word ...
Follow Me On Twitter!
LyricsG: Top Links
-New Releases
-Rising Stars
-Just Added
-Popular Previously
-The Race Is On by George Jones

LyricsG: lyrics search.


Lyrics | New Lyrics | Top Artists | Search | Contact | Links | Comments

Requests/inquiries should be sent to the contact address.